Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salama wakuu msaada natafuta USB 3.0 HUB kwa yeyote anayejua mahala zilipo naomba unijulisha tafadhali nipo Dar. Msaada tafadhali laptop yangu ina USB port mbili tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ukihitaji miliki ziko mbili brand new from Uk nipo Dar serious buyer njoo pm
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wadau natafuta nyumba ya vyumba viwili na sebule jijin tanga. naomba anayejua anijuze
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.kiwanja ukubwa square meter 690 kipo block k tunduma(karibu na ukinga hill motel) kinauzwa tshs 8 milion kina offer 2. Viwanja viwili vipo chapwa vina offer vinauzwa @ tshs 4,000,000...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wana JF. Mimi ni mjasiliamali mdogo. Nina ndugu yangu anabiashara nyingi mbeya na Rukwa. Pale Mbeya ana mashine za kusaga unga wa sembe. Mashine hiyo ni ya pekee kidogo inaweza kukuboa mahindi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu nauza shamba nzuri, liko kwenye halo ya unyevunyevu wakati wote. Ni lenye ukubwa wa hekari 20 na kila moja ni 70,000. Ni mashamba yaliyopimwa na serikali ya kijiji. Kama utahitaji basis ni...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nipo goba kwa ndambi. Nimeinunua tarehe 30/11/2013. Nikaitumia kibiashara kwa miezi 3 kisha nikaipaki tu ndani. Mwezi huu mwanzoni nikampa kijana mwingine akaanza longo longo sasa biashara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pikipiki aina ya BOXER inauzwa kwa bei ya shilingi milioni moja na laki saba (1.7 milion Tanzania shiling). SIFA ZA PIKIPIKI. Pikipiki imetumika kiustaarabu kwa muda wa miezi mitano tu (tokea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji Tv inchi 32 ikiwa LG, Samsung au TCL poa tu. Bajeti yangu ni 450,000Tzs. Ni pm au call 0713563652
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Camera hii ipo katika hali nzuri na inafanya kazi kadiri upendavyo, betri yake ikiwa fully charge ina uwezo wa ku_run through LCD zaidi ya masaa 8-9, kupotia viewfinder ni 10-14hrs. Built in mic...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa tokana na ‘stabilized' Aloe vera gel pamoja na bee propolis hivyo huu bacteria na vijidudu vyote. Inang'arisha meno bila ya kuchuna tabaka la juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya Mnada New PC inauzwa,ilikuwa ndani tu haijatumika kikazi. Specification: Power Saver,inatumia Adaptor only 90 Watts Manufacture:-Hewlett -Packard(HP) Rating:- 1.0 Window Experience...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
We do provide SECURITY SERVICES for Homes and corporate, Godowns, Shopping Malls as follows, our services include; Residential, Corporate Guarding Service Dogs Training & Guards Service...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Toyota vitz , millage 158548km, bima zote hazidaiwi bei 5,500,000tsh negotiable
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wakuu. nauza line ya uwakala ya tigopesa . bei ni 250,000/- nipo Arusha. call 0684 204980
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Habari wadau! Msaada waungwana,natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Ukonga mpaka G'mboto. Iwe self,ina vyumba vya kulala kuanzia viwili,sebule,jiko,maji yawe karibu na parking. Ikiwa na fens...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
inbox me if you have available for sale.
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Nauza Gari Nissan March 6M kwa mawasiliano 0655 609058
0 Reactions
7 Replies
3K Views
simu ina mwezi ipo poa ina kila kitu chake nicheki 0688 206680 nipo dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf.. Naomba kufahamu ni tochi za aina gani ambazo ni angavu sana ambazo naweza kutumia kwa shughuli za ulinzi usiku... Iwe ni mwanza ama mkoa wowote ntajitahidi kuzitafuta...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom