Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mwenye kuuxa cartlige ya lexmark printer no 15 iwe black ni pm
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Wana JF Nataka nininue hii router kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Jee hapa bongo ninaweza kuzipata wapi? na gharama zake ni sh ngapi? Thank you in advance
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa kisemavyo hapo juu,simu hiyo ni mpya na haijatumika hata mwezi kuisha, kama unahitaji,ni sms au piga 0659944288 karibuni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilishindwa kuanza kuhangaika kuanza kutafuta kazi kwa maana ajira za kibongo bana ni za "mtoto wa shangazi na wa mjomba"....... Nikaamua nianze ufugaji wa kuku wa kienyeji tangu mwezi wa kumi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bei yake ni poua kma upo serious nicheck 0768359292 na 0652359291 na pics zake hapo chin
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wapendwa. Nauza mikanda ya kupunguza tumbo ambayo ni ya mtumba ndani ya siku 7 tumbo limeisha. Nauza elfu 30. Karibun sana. Napatikana kwa namba 0712620078
0 Reactions
20 Replies
8K Views
nauza dish kubwa la free channel na dikoda yake ambalo.limetumika kwa miezi sita tu.bei maelewano cont: 0753505115 au 0715505115 email.mkumbata32@gmail.com.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwenye kuweza ku desisn t shirts zenye neno TANGANYIKA kwa muonekano mbalimbali tuwasiliane.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Unaweza kupata mchanga wa kujengea popote ulipo kwa bei ya kawaida katika mkoa wa Dar es salaam ndani ya masaa 24. Tutakuletea kwa gari hadi hapo litapoishia gari. JINSI YA KUPATA HUDUMA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Miili yetu inapaswa kusafishwa ndani kwa usalama(cleansing)? Hii husaidia kukinga mwili na maradhi na kupunguza mafuta(uzito). Kutokana na u busy wa maisha inakuwa sio rahisi kupata vyakula...
0 Reactions
19 Replies
57K Views
Wadau nauza rav4 ya mwaka 2003, rangi ya blue, milango mitano,cc 1990 haina tatizo lolote bei ni 10 million only. Call 0715237973 for more details.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwenye OS windows 8.1 copy anipe Namba na bei.niko Arusha
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, heshima kwenu! Kuna heka 2 zenye hati (Title Deed) zinauzwa Kibada. Zilipo hizo heka 2 ni meters kama 100 kutoka barabara ya lami na zimakaa center ambapo kuna umeme ila maji ni ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ninaflash na kutoa lock kweny simu kwa bei rahisi sana. Mfano iPhone software unlock ni elfu 30 tu.....factory unlock ni maelewano. Narekebisha simu aina zote, karibuni sana. Ninapatikana posta...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Nahitaji nokia symbian, E5, C5, E6 etc. iwe na 3G na kwenye hali nzuri, budget yangu ni around 50k tshs. Tunaweza ongea bei.. Mwenye nayo nitext 0716683434, nipo Dar
0 Reactions
7 Replies
1K Views
natafuta ofisi maeneo hayo tajwa bei iwe reasonable sio lazima iwe barabara kuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RAM 2GB,HARD DISK 320,PROCESSOR 1.7GHZ,SYSTEM TYPE 64 BIT Nashindwa kuapload picha. Ipo katika hali nzuri sana. Imetumika miezi mitatu tu. Bei ni 420000 tu. 0719397568 Nipo dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
742 Views
tunafundisha masomo ya,history,kiswahili,english,civics,geography,na biology kwa o-level na advance. Bei ni maelewano na inategemea na masomo unayochukua. Tupo kinondoni karibu na shule ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kama una ndugu, jamaa au rafiki yupo interest na vitu hivi. Ni Camera Sony 3CCD DCR 2200 VX ipo katika hali nzuri na inafanya kazi kadiri upendavyo, betri yake ikiwa fully charge ina...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Habari wakuu, Natafuta nyumba ya kupanga vyumba 4 fencing maji na umeme plus ample parking maeneo ya Kia Moshi. Ni pm kama unayo
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Back
Top Bottom