Pikipiki boxer yauzwa

Pikipiki boxer yauzwa

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Pikipiki aina ya BOXER inauzwa kwa bei ya shilingi milioni moja na laki saba (1.7 milion Tanzania shiling).

SIFA ZA PIKIPIKI.
Pikipiki imetumika kiustaarabu kwa muda wa miezi mitano tu (tokea mwezi wa tano mwaka huu), na haina matatizo yoyote yale.

Kimwonekano wa nje na ndani bado mpya na ina hati zote za umiliki, na imekatiwa bima.

MAHALI NA MAWASILIANO.
Pikipiki inapatikana DSM TMK, pia unaweza kupiga simu no. 0653422776.

NYONGEZA MUHIMU.
Bei iliotajwa hapo juu haiwezi ikapungua hata kidogo kutokana na ubora wa pikipiki hio.
 
Mkuu hembu weka Picha.
Humu unaweza kupamba manenoo hadi mwisho.Lakini Picha ndio huuza.
Nakuambia hivyo kwakuwa mie mwenyewe hufanya hivyo na kuuza haraka sana.
 
Back
Top Bottom