Natafuta mdau wa kufanya nae biashara ya mazao

Natafuta mdau wa kufanya nae biashara ya mazao

Mr II

Senior Member
Joined
Feb 19, 2009
Posts
158
Reaction score
17
Wana JF. Mimi ni mjasiliamali mdogo.

Nina ndugu yangu anabiashara nyingi mbeya na Rukwa. Pale Mbeya ana mashine za kusaga unga wa sembe. Mashine hiyo ni ya pekee kidogo inaweza kukuboa mahindi na kiini chake kubaki ina inaitwa corn roller mill (Mnaweza kuiona kwa mitandao pia).

Hivyo sembe inayozalishwa na mshine hii huwa na kiini na bora kuliko sembe nyeupe ambayo watu wengia wanakula hapa Tanzania.

Niliitumia kwa muda na kujaribu soko la unga huo hapa Dar na soko likaanza kukubali lakini kutoka na kutingwa na majukumu (ajira) nikasimamisha hiyo biashara na sasa nataka kuianza tena.

Kama kuna mtu tunaweza kuingia nae mkataba na tukachangiana mtaji tukaanza tena anakaribishwa.

Naomba watu serious wanitafute sitaki wababaishaji.

Karibuni. namba yangu hii 0689 417 472.

Nitafute tuzungumze.
 
Mie nipo sumbawanga rahisi sana kushare hiyo kitu kwani ndiyo kiini cha mazao nakuja pm
 
Akohi na Habie nimeongea na mr 11 tunaweza kufanya kitu fulani kwa umoja wetu ebu mni pm no zetu tufanye discussion kwa pamoja ili tufanye kitu kikubwa
 
Kk ni unga tu mnazalisha?hamna mazao mengine kma mchele ili tufanye biashara me nina masoko kabsa namaanisha store
 
i do the same buznes ila nipo nje ya tanzania we can hv a chart and see a way forward +260974013745
 
Kk ni unga tu mnazalisha?hamna mazao mengine kma mchele ili tufanye biashara me nina masoko kabsa namaanisha store


store sio soko... anyway mm ninafanya biashara ya mchele toka mbeya... huwa ninauza katika style ya kupark na kusuply katika supermarkets ndogo na za kati hapa dar, sasa hivi ina mwaka mmoja na miezi 4, buashara imeweza kununua gari ndogo kwa ajili ya kusambaza bidhaa hiyo madukani... waweza nitafuta tukaona wapi pa kuongezea nguvu
 
Sijapata feedback nzuri, am ready to participate especially in collecting maize from rural areas to urban ready for transportation.
 
Back
Top Bottom