Natafuta Nyumba

Natafuta Nyumba

Tysher

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
207
Reaction score
78
Habari wadau!
Msaada waungwana,natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Ukonga mpaka G'mboto. Iwe self,ina vyumba vya kulala kuanzia viwili,sebule,jiko,maji yawe karibu na parking. Ikiwa na fens itakua safi zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom