Forever bright tooth gel

Forever bright tooth gel

Marietta

Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
11
Reaction score
1
Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa tokana na ‘stabilized' Aloe vera gel pamoja na bee propolis hivyo huu bacteria na vijidudu vyote.

  • Inang'arisha meno bila ya kuchuna tabaka la juu la meno – ENAMEL

  • Huzuia meno yasitoe damu , kuponya vidonda vya mdomoni na endapo kuna maumivu mdomoni unaweza kupaka kwenye meno moja kwa moja bila ya kupiga mswaki.

  • Husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya imara.

  • Inatumika kwa muda mrefu
Haina fluoride kama dawa nyingine za meno sokoni. Fluoride ikimezwa huweza kusababisha madhara mwilini.

TZS 13,500/-

Aloe Vera: FOREVER BRIGHT TOOTH GEL
 
Back
Top Bottom