Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mdogo wangu anahama dar anaacha miezi 6 , njoo pm nikupe contact muelewane . Nyumba iko getin, ni chumba na sebule ila sebule ni ndogo kuliko chumba alafu self, bei 75000/= mabibo hostel
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Natafuta ng'ombe wa maziwa wa kunua amabaye kapandwa. Tuwasiliane
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nauza CARINA Ti 1490cc, Rangi Nyeupe, ipo Dar es Salaam, vimelipiwa ROAD LICENCE, BIMA mpaka November, 2013, tairi ni mpya. Bei ni 9,000,000/= (9m). Sababu ya kuuza naenda masomoni Nje ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Selling my Rav4, beautiful car and Mint condition, ni gari ya UK, manual, has no problem, at least major maana hii ni machine, but its beautiful and drives nicely, tinted glasses, dark green...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natamani kumiliki bajaji kama kuna mtu anauza anishtue ikiwa 4 stroke na tvs itakua poa bei na vitu vingine hebu nbeep kwa 0767279713
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Ipsum milion 6.5 mwanza Kama utahitaji tuwasiliane Kwa 0788752672
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jipatie nokia lumia 900 kwa bei poa sana 240k tu,iko katika hali nzuri sana
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Brand new samsung galaxy s2, bei ni 280000. Utaletewa popote ulipo dar-es-salaam. Utaruhusiwa kurudisha simu ndani ya wiki moja kama hujarudhika nayo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza corrola "one eleven" namba 'B' ya mwaka 2002 milioni tano tu hapa mwanza mwenye kuhitaji anicheki Kwa 0788752672 MWANZA
0 Reactions
8 Replies
1K Views
eneo linauzwa likiwa na nyumba ya vumba vinne,liko ndani ya uzio na linatazamana na barabara kuu ya tabata kimanga.mbele kuna flemu za biashara nne. eneo limepimwa na lina hati. bei ni milioni 200...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Office inapangishwa ipo mwenge nyuma ya kituo cha Tegeta opposite na Efatha bank,300,000 kwa mwezi kodi miezi 6 ina vyumba 3,reception na vyumba 2 vya office ! Contact 0756 090 222 ! Gharama za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Brand new s3 for sale,comes with boxed and all accesories..going 345,000Tsh only...pm me if serius buyer or call me on +255 768 934 881
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Office inapangishwa ipo mwenge nyuma ya kituo cha Tegeta opposite na Efatha bank,300,000 kwa mwezi kodi miezi 6 ina vyumba 3,reception na vyumba 2 vya office ! Contact 0756 090 222 ! Gharama za...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Unahitaji kujiandikisha kwenye zoezi la kuomba VISA kwenda Marekani, Japo zoezi zima ni bure na kujiandikisha ni kwenye mtandao tu, lakini kuna baadhi wanapata shida sana sana ya kutuma picha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watengenezaji was Milango na Madirisha ya Aluminium,Metal fabrication na Electrical installation .Tupo Toangoma along kigamboni road.call .0719744806
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Nauza kiwanja kipo mbezi mwisho eneo la msakuzi,ukubwa wake ni 32 kwa 20 na 24 kwa 20 hatua za miguu,bei ni million 8.kwa mawasiliano tuma ujumbe whatsap .
0 Reactions
1 Replies
813 Views
samsung galaxy S3 mini original ni used na ina miezi mnne tu tangu itoke dukani, inauzwa kwa bei rahisi Tsh 27,0000. iko vivuri kabisa kama unavyoiona kwenye Pic na haina tatizo lolote. wasiliana...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama una king'amuzi cha startimes, digtec ama continental, nakihitaji kwa Tsh. 45,000. zaidi napendelea startimes. Niko Mbezi Mwisho-Dar simu 0712172026 au 0766642604
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lipo Mlandizi Kijiji cha Kikongo, Km 55 kutokea ubungo, Km saba za Rough Road kutoka Mlandizi - Morogoro Road. Lipo pembezoni mwa Barabara inayoelekea Stesheni ya Mzenga (Mzinga?) Kisarawe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau simu tajwa hapo juu inauzwa 350,000/= ,ni mpya ndani ya boxi lake. Model : One Touch Pop C7 7041X Release Date : April, 2014 Design / Type : Bar Depth : 9.9 millimeters (0.39 inches)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom