Hamna hela tu vipuri kwy dunia ya sasa sio inshu mnapenda Toyota by default mtaa wa pili spear lkn nna hiyo gari is very good and the spear part once fixed you forget inadumu mno si kawaida
mleta tangazo jaribu kucheki na price yako,sasa hivi kagari ka aina hiyo aina ya paso ndio kako kwenye fasheni na humu watu wanakaleta kwa bei hiyohiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.