wakuu mnavyojua kwa sasa maisha yalivyo taight nmemaliza na kadegree kangu nimetafutafuta ajira ndani na nje kwa mda wa miaka mitano nikaona nijitupe kwenye ujasiliamali kwaiyo nna mashamba ya...
Wakuu nauza simu tajwa hapo juu.haina mkwaruzo wowote, nimetumia less than three months. nipo arusha mwenye kuhitaji karibu pm au nitafute kwa 0684204080
bei 140,000 negotiable
Karibu ya zaidi ekari 60 zinauzwa kutoka katika shamba kubwaaaa, ambapo mteja anaehitaji atakatiwa ukubwa wa kuanzia ekari moja na kuendelea, shamba lipo karibu na barabara kijiji cha Mzenga -...
JANJARUKA;
Achana na Simu used LEO, Fungua BOKSI kwa bei nafuu!
Get a BOXED BRAND NEW Android Phone at BUDGET PRICE;
Introducing Gowin M7 At 160,000/= ( ingeitwa Samsung ingeuzwa...
Ipo Benz inauzwa Tsh 8M mazungumzo yapo,imetumika Dubai na mwsho hapa Dsm,ipo katka hali nzuri,imetembea km 200K,picha znafata wakuuu,kwa alie na uhitaji wa gar hiii nifate PM tuangalir jins ya...
Waungwa salama!
Nimeamua kuishi Morogoro, kazi zangu nafanyia mvomero! Nahitaji nyumba ya kuanzia maisha iwe maeneo ya barabara kuu ya Moro-Dodoma! Iwe na chumba kimoja self, jiko, sebule, maji...
Wakuu natafuta gari tajwa hapo kwa ajili ya shughuli ya harusi kesho J'mosi tar'11/10.
Sherehe itafanyika Mbezi ya Kimara. Gari iwe in excellent condition,, iwe ni Silver au white.
Km unayo please...
Njoo ofisini kwangu hapa Mwanza nioneshe document zote halali kisha nikabidhi mtu huyo au taasisi unayoidai mimi ni court broker niliyesajiliwa na natambulika Tanzania nzima nina Kazi nyingi za...
Hello all,
Kichwa cha habari kinahusika,
Anatafutwa msichana wa kufanya hizo Kazi .
Eneo ; Ilala karume , Dar
Muda ; saa 2 asubuh hadi 12 jion
Umri ; kuanzia 18 - 23
Mshahara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.