memeapa Senior Member Joined Apr 27, 2014 Posts 151 Reaction score 58 Oct 9, 2014 #1 Habarini wanajamvi! Nauza bale la mitumba la kg 45 la magauni ya watu wanene kwa 350000/= tu. Napatikana kurasini, ambaye atahitaji aniPM
Habarini wanajamvi! Nauza bale la mitumba la kg 45 la magauni ya watu wanene kwa 350000/= tu. Napatikana kurasini, ambaye atahitaji aniPM
fugees JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 2,868 Reaction score 884 Oct 10, 2014 #2 we ndugu wewe bale kg 45 af bei hyo hajulikani ni cotton silk au ni namba 1, 2 au ngap toa maelezo vzur
we ndugu wewe bale kg 45 af bei hyo hajulikani ni cotton silk au ni namba 1, 2 au ngap toa maelezo vzur