Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

Jerhy

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
3,135
Reaction score
1,001
Karibu ya zaidi ekari 60 zinauzwa kutoka katika shamba kubwaaaa, ambapo mteja anaehitaji atakatiwa ukubwa wa kuanzia ekari moja na kuendelea, shamba lipo karibu na barabara kijiji cha Mzenga - Kisarawe barabara ya kutokea Mlandizi. Na kuna umeme kwahiyo mwenye kufikiria ujenzi wa shule, dispensary, hotel, lodge, asiwe shaka kabisa, pia ardhi hii inafaa sana kwa kilimo na kuna wengine wamepanda miti ya mitiki.

Wekeza katika Ardhi, ardfhi ndiyo itakayokuendeleza

Kwa serious buyers tu njooni PM.
 
Nitumie no yko cm!
 
Mliojaliwa kuwa na miradi endelevu ardhi hii ni hazina ukiipata ni urithi kwa vizazi vyako vijavyo
 
Ardhi hii ni muhimu kwa maendeleo yako na vizazi vijavyo nunua plot panda mitiki baada ya miaka kumi unavuna na hapo sasa ndo vijana wanarithi plot kwa ujenzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom