Habari wana jukwaa!
Naomba msaada wenu pia kuuliza eti wapi naweza pata duka au mtu anayeuza laptop mpya kw bei nafuu kwa hapo jijini dar es salaam?
Laptop iwe na sifa hizi:
-Toshiba au Acer...
Umefika wakati wa kuuenzi na kuthamini Africa wetu,jipatie shati lako la kitenge kwa Shilingi elf 20 ya kitanzania kutoka ENSETH KITENGE FASHION kwa mawasiliano whatsapp me 0686 87 17 87
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu..
Ni old model...haina tatzo lolote
Kilomita ni 220000
Imesajiliwa kwa namba B
Only for 4 milion Cash
0786242495
Wana JF, Natafuta Mshirika mwenye Gari Canter Tani 2, tushirikiane. Mmini nina kisima cha maji safi huko Chanika DSM. Kuna Mahitaji makubwa ya maji kwa shughuli zote huko Masaki karibu na Chanika...
Mimi ni mkulima ninaishi vijiji vya mwambao wa ziwa Tanganyika. Mimi na wenzangu tunatafuta soko la kuuza mahindi yetu zaidi ya tani 600 ambayo tumevuna. Ninaomba msaada au ushauri wenu wa jinsi...
pata simu original zenye warranty ya mwaka mmoja kwa special order.tuna ofisi kariakoo dar es salaam inayojihusisha na uuzaji wa simu.kupanua uwanja wa biashara sasa unaweza kuweka order na...
Gari hyo hapo chini inauzwa bei ya kutupa haina tatizo lolote ila mmiliki anahaman nchi so anauza vitu vyake.
Ni ya mwaka 2002 na ni cc 1000. Kwa mwenye kuhitaji nichek 0713 80 67 66. Bei...
Wakuu mnavyojua kwa sasa maisha yalivyo tight nimemaliza na shahada yangu nimetafutafuta ajira ndani na nje kwa muda wa miaka mitano nikaona nijitupe kwenye ujasiliamali. Kwa hiyo nina mashamba ya...
Hari za mchana wana JF, matumaini yangu mu-wazima wa afya.
Ndugu yenu napata kigugumizi katika kuchagua aina ya gari ambayo haita nisumbua kati ya ist, toyota allex/runx au spacio new model...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.