Soko la korosho na vitunguu maji

Soko la korosho na vitunguu maji

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
147
Reaction score
21
wakuu mnavyojua kwa sasa maisha yalivyo taight nmemaliza na kadegree kangu nimetafutafuta ajira ndani na nje kwa mda wa miaka mitano nikaona nijitupe kwenye ujasiliamali kwaiyo nna mashamba ya korosho naitaji soko la korosho wenye kuitaji kwa wingi popote ndani ya tanzania naomba tuwasiline kwa email yangu mjasiliamali14@gmial.com
 
Back
Top Bottom