Nauza tecno p5 nipo Arusha

Nauza tecno p5 nipo Arusha

hero de mmar

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
470
Reaction score
108
Wakuu nauza simu tajwa hapo juu.haina mkwaruzo wowote, nimetumia less than three months. nipo arusha mwenye kuhitaji karibu pm au nitafute kwa 0684204080
bei 140,000 negotiable
 
wakuu nauza simu tajwa hapo juu.haina mkwaruzo wowote, nimetumia less than three months. nipo arusha mwenye kuhitaji karibu pm au nitafute kwa 0684204080
bei 140,000 negotiable

80,000 ipo mkuu
 
wakuu nauza simu tajwa hapo juu.haina mkwaruzo wowote, nimetumia less than three months. nipo arusha mwenye kuhitaji karibu pm au nitafute kwa 0684204080
bei 140,000 negotiable

Nakupa simu yangu ya Blackberry Bold 9000 pamoja na 35,000. Unipe hiyo P5. Unasemaje?
 
Back
Top Bottom