Tunatoa huduma ya kukusanya madeni

Tunatoa huduma ya kukusanya madeni

MIMI NA TZ

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
197
Reaction score
18
Njoo ofisini kwangu hapa Mwanza nioneshe document zote halali kisha nikabidhi mtu huyo au taasisi unayoidai mimi ni court broker niliyesajiliwa na natambulika Tanzania nzima nina Kazi nyingi za mabenki na kampuni mbali mbali na nimekuwa katika ukusanyaji madeni na ufilisi Kwa zaidi ya miaka 7 njoo nipo Mwanza nitahakikisha deni unalodai unalipwa bila gharama yoyote. Kama ni muhitaji wa huduma hii tuwasiliane Kwa 0788752672
 
Back
Top Bottom