Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunauza hii Nyumba Ipo kigamboni mtaa wa Tuangoma goroka njia panda ya Jeshi Nyumba ni ya Ghorofa chini chumba kimoja self na Juu vyumba 3 vyote ni self nk Ukubwa wa plot 1500sqm na bei yake...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Nyumba INA vyumba 3 kimoja self, jiko,nk Nyumba bado mpya. Bei yake 150ml. Maongezi yapo, kwa mawasiliano zaidi au kutaka kuiona wasiliana nami kwa 0756060183
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa mbweni jkt mitaa aliyo kuwa akiishi dr sraa nyumba ina master bedroom 1 na bedrooms 2 za kawaida ina dinning public toilet and big kitchen. Nyumba ina viwanja viwili yani kila...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala na kimoja ni master bedroom, sebule na sehemu ya kulia chakula, jiko, choo cha Jumuiya, Maji na umeme vipo, tiles, gypsum board, fensi, parking ya gari ndani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba ya kisasa ina vyumba vtatu vya kulala (1master&2single),sitting room kubwa ya kisasa, dinning room, 2 public toilets,fens&parking area,maji yapo,umeme unawaka, full tiles,Nyumba ipo mta 300...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba hii Inauzwa Iko mbagara Chamanzi Saku. Ina 3bedroom,sitting room,dinning room,kitchen,store. Bei ni 100 millions, pia bei inapungua. Tuwasiliane kupitia 0659 91 9292
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nyumba ina vyumba vnne vya kulala ft12×10(1master&3single)sitting room, store, public toilet, kisima cha maj kipo nyumba ipo mtaan na mita chache kutoka stand ya daladala 0656 698232
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama ipo barabarani kabisa,ni eneo safi sana kwakuweka godown,yard ya magari,Kama wengine pembeni walivo fanya.bei ni milioni 550.Kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya vetenary temeke.Ina 1.master room moja 2.guests rooms mbili 3.sebule/seating room moja 4.jiko 5.public toilet ya ndani 6.public toilet ya nje 7.visima vya maji viwili...
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Habari za siku ya leo ndugu yangu, leo nisiku nyingine tena ambayo nawalete habari njema juu ya makazi ya mwanadamu. Nyumba hii ina vyumba 4, jiko1, seating room1, frems 2 kwa upande wa kulia...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Ndugu mteja, Nyumba hii inapatikana maeneo ya Chamanzi Dovya kwa Mzara jijini Dar es salaam. Kwa gari ni 10dk kwa speed ya 30kmp/hr kutoka Mbagala Rangi tatu hadi eneo ilipo nyumba hii. Nyumba...
1 Reactions
16 Replies
15K Views
Nyumba ina vyumba vtatu (1master&2single with public toilet),sitting room kubwa, dinning, (fens&parking area),umeme unawaka ipo barabara ya mtaa kutoka stand ya daladala n mita 700 contact 0656 698232
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Nyumba ina vyumba vnne pamoja na master bedroom,sitting room, public toilet,IPO mtaan I mean barabara kubwa ya mtaa
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Nyumba ya kisasa ina vyumba vtano vya kulala pamoja na master bedroom 3 zilizounganishwa na system ya maj moto na barid,sitting room kubwa ya kisasa, dinning, Jiko,store, public toilet, Contact...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama ipo barabarani kabisa,ni eneo safi sana kwakuweka godown,yard ya magari,Kama wengine pembeni walivo fanya.bei ni milioni 550.Kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa Ipo maeneo ya Mbezi makabe ukubwa wa uwanja ni 20 kwa 30 ina vyumba vitatu(master 1) Public toilet jiko na store Kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa simu namba: 0656 135 500
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa ipo bunju masite Vyumba vitatu,masters kimoja 2.seating room 3.Dining 4.public Toilet 5.Kitchen 6.flame (3) outside 7.fance 8.sq 600 9.all document available Price 230m Call...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Mimi ni mtumishi wa umma nimehamishiwa kigoma wilaya ya kibondo.nahitaji nyumba ya kuishi kwa anayejua au kwa dalali aliyekaribu tafadhani ni PM natanguliza shukrania
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom