Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama ipo barabarani kabisa,ni eneo safi sana kwakuweka godown,yard ya magari,Kama wengine pembeni walivo fanya.bei ni milioni 550.Kama upo serious nichek 0716385824
Munakaa huko hapa mjini watu wana pesa tukitaja milion 400 tu inatoka fasta mbona kijungu yake iko kitonga amepiga mill 300 sembuse hiii HUKO NI KUJIDANGANYA we dalali weka bei sahihi watu wanunue.riziki yako ww ni laki tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.