House4Sale Nyumba inauzwa mbweni jkt

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
1,012
741
Nyumba inauzwa mbweni jkt mitaa aliyo kuwa akiishi dr sraa nyumba ina master bedroom 1 na bedrooms 2 za kawaida ina dinning public toilet and big kitchen. Nyumba ina viwanja viwili yani kila uwanja una hati yake yenye sqm.600/600=1200 price tsh 270million.kutoka kwenye nyumba hadi baharini unatembea kwa miguu. Contact 0712464777
1466518042238.jpg
1466518068910.jpg
1466518093839.jpg
1466518118049.jpg
1466518134948.jpg
1466518175270.jpg
1466518188890.jpg
1466518219038.jpg
 
Hayo mamilioni sasa, najenga nyumba hata kumi mikoani huku. Hiyo bei kisa nini ? Kwa kuwa ni Dar au ? MITAA HIYO NAIJUA VIZURI BEI HIYO NI KUBWA MNOO
 
Viwanja mbweni ni 40 - 50mil

Hiyo nyumba nikiwa na 100 - 120mil naijenga vizuri tu.

Sasa 50 mil + 120mil = 170mil

Wewe bei yako ni 270mil

Kwa hiyo 270mil - 170mil = 100mil

Yaaani mkuu hata aibu huna? Unafikiri usawa huu unaweza kutengeneza faida kubwa namna hiyo? Nyakati zimebadilika na nyie yawapasa mbadilike.
 
Kelele za nini? Kama unajua hesabu basi jua na kujenga yako. Kama unaona huna uwezo nayo acha povu
 
Mkuu

1. Mimi nimejenga na ninaishi mbweni, nimejenga nyuma ya Oceanic. Kwa hiyo maeneo ya huku nayajua sana.

2. Lazima uwe analytical wakati unapotaka kufanya biashara. Mambo ya abnormal profits hayapo tena wakati huu.

3. Je unadhani njaa na shida zako zitamalizwa kwa ku strike dili 1 tu? Kuweni reasonable. Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnatokwa na mapovu.
 
Mm sio dalali ila nimekerwa na kelele zako. Biashara huria kila mtu anafanya maamuzi kabla ya kuuza au kununua. Wewe kwa kiwa unaishi mbweni jenga alafu uza bei unayota au tafuta mtu anayeuza bei anayotaka nunua. You are talking too much buddy.
 
I am talking too much OR I am talking too many facts?

Sikiliza wewe, yakupasa uwe reasonable na uwe na busara kwenye Mambo uyafanyayo.

Okay Mimi nilichofanya ni kumuelewesha huyo muuzaji kuwa kupitia hiyo analysis yangu hapo juu hizo bei yake ya 270mil ni impossible kupata mteja.
 
Viwanja mbweni ni 40 - 50mil

Hiyo nyumba nikiwa na 100 - 120mil naijenga vizuri tu.

Sasa 50 mil + 120mil = 170mil

Wewe bei yako ni 270mil

Kwa hiyo 270mil - 170mil = 100mil

Yaaani mkuu hata aibu huna? Unafikiri usawa huu unaweza kutengeneza faida kubwa namna hiyo? Nyakati zimebadilika na nyie yawapasa mbadilike.
Mkuu hata bei yenyewe za viwanja za mbweni jkt huzijui naona unaelezea bei za viwanja za huko mkoani kwenu njoo uulize vizuri bei ya kiwanja mbweni jkt haafu ndio ulete takwimu zako hapa ila usiongee kitu ambacho hukijui.....unaweza ukawa unaishi dar lakini kariakoo hupajui.
 
Ungeweka hizo bei umuonyeshe kuwa umayoongelea ndiyo yanayojiri, sasa kwa maandishi haisaidii haswa kwa jinsi nawe unafanya biashara hii...kumbuka unasomwa na wengi humu.
 
Hiyo milioni 120 yako kwa huku mbweni jkt unapata kiwanja tu tena chenye sqm 1200/ mpaka 1300#= na bado hauja jenga hata msingi hapo......naona huijui vizuri mbeeni jkt unaropoka tu
 
Ungeweka hizo bei umuonyeshe kuwa umayoongelea ndiyo yanayojiri, sasa kwa maandishi haisaidii haswa kwa jinsi nawe unafanya biashara hii...kumbuka unasomwa na wengi humu.
Mbweni jkt ni very expensive place....kiwanja cha sqm 1200 kinauzwa si chini ya 120milion.........kiwanja cha sqm 1000 hupati chini ya 1000million umepunguziwa sana ni 90 million. Ila watu wana shindwa kuitofautisha mbweni unajua kuna mbweni jkt, kuna mbweni teta, kuna mbweni malindi estate, na kuna mbweni mpiji
sasa.... mbweni ambayo ni ghari sana ni hii ya mbweni jkt sasa mtu huijui mbweni afu unasema mbweni kuna kiwanja cha 40 million kitoke wapi ila hizo mbweni zingine nilizozitaja ziko chini sana unaweza pata plot kwabei yoyote ila mbweni jkt haikamatiki.
 
Mkuu hata bei yenyewe za viwanja za mbweni jkt huzijui naona unaelezea bei za viwanja za huko mkoani kwenu njoo uulize vizuri bei ya kiwanja mbweni jkt haafu ndio ulete takwimu zako hapa ila usiongee kitu ambacho hukijui.....unaweza ukawa unaishi dar lakini kariakoo hupajui.
Shida yenu madalali hamtaki kuamini bei za viwanja zimeshuka.
Mnabaki kutaka kuumiza watu kwa bei zenu za ajabu.

Nakupa homework. Nenda kule Jukwaa la Matangazo madogo madogo, kaangalie bei za viwanja sehemu mbalimbali and then uje hapa utetee haya mawazo yako.

Msilazimishe Mambo, zama zimebadilika.
 
Tangu bei zishuke umenunua vingapi.? Usikute hata kiwanja kimoja hauna.....mimi siishi temeke afu niuze viwanja mbweni, mimi naishi mbweni jkt na hakuna kiwanja kilicho shuka nimeshawauzia wana jf wengi sana humu ndani viwanja nenda kwenye hizo thread zao soma tena stutus zao huenda umezisoma vibaya au hukujua mleta mada ameielezea mbweni ipi, either mbweni mpiji, mbweni teta, mbweni malindi estate. Lakini narudia tena sio mbweni jkt
 
Ndio maana Mbweni hapaendelei. Pamedumaa miaka nenda miaka rudi kwa sababu ya tamaa za wachache. Mpaka Mbweni ije ijae nyumba it will take another 15years.
 
Ach kudanganya watu wewe, au una kaa vijibweni sio mbweni maana huwenda unachanganya majina kati ya vijibweni na mbweni. Yani sasa hivi mbweni ndio kimbilio la watu wenye pesa zao hakai kapuku huku na hata mijengo inayo jengwa ni hatali watu kila kukicha wanaporomosha mijumba ya hatari na ramani zao nadhan zinatoka ulaya maan sio z kibongo zile. Waulize wanayoijua mbweni vizuri wakupashe habari naona wewe ni mgeni unayeishi vijibweni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom