ok! Ntakutafuta mkuu!!Mkuu me sio mwny nyumba so ukitaka mazungumzo na mwny nyumba mm nakuungansha nae mnafanya mazungumzo Mkuu bila shaka
Usihadaike na rangi mpwaduuuh nyumba nzuri kwa bei hiyo
sio rangi ina vyumba vinne, sebule ipo chanika ni bei rahisiUsihadaike na rangi mpwa
Usihadaike na rangi mpwa
Mpwa kama unaitaka tafuta fundi akakukagulie kama ina kiwango stahikisio rangi ina vyumba vinne, sebule ipo chanika ni bei rahisi
Hahahahaah napita ila nitarudiNyumba ya vyumba 4 inauzwaje 30m?tuanzie hapo kwanza.
naona kama sio reasonable, kaiuza kwa hasara mkuu, something maybe wrong thereKabla ya kununua nyumba fanya uchunguzi wa kina kujua ni kwanini inauzwa,ywezekana ilijengwa open space,yawezekana kiwanja kina mgogoro,yawezekana kakopea benki,yawezekana kuna bomba la gesi litapita hapo,yawezekana iko mita zisizoruhusiwa kutoka nguzo ya umeme,inawezekana inahusihwa na imani fulani[ghost etc] hivyo tusikimbilie tu bei,tufanyeutafiti wa kina,otherwise kwa bei hiyo ni reasonable kwa nyumba ya kiwango hicho.
Mkuu nimetoa pendekezo saf tu! Umeipenda nyumba njoo Fanya uchunguz wa kutosha ukiridhika njoo mezan tufanye biashara kisherianaona kama sio reasonable, kaiuza kwa hasara mkuu, something maybe wrong there
mkuu labda ungetoa sababu za kuuzwa kwa hiyo nyumba maana watu wakifanyiwa ukarimu mkubwa sana lazima wajiulize maswaliMkuu nimetoa pendekezo saf tu! Umeipenda nyumba njoo Fanya uchunguz wa kutosha ukiridhika njoo mezan tufanye biashara kisheria
NB gharama za uchunguz ntasimamia mm
Mkuu haina tatzo kwa sbb nyumba nyng za huku ambazo zipo kweny standards za kawaid kama hyo ndo bei zake sema tu sijaweka tamaa ktka Hyo biashara ili kuepuka kuichelewsha kaz mkuumkuu
mkuu labda ungetoa sababu za kuuzwa kwa hiyo nyumba maana watu wakifanyiwa ukarimu mkubwa sana lazima wajiulize maswali
Kwa sisi mafundi mmi hilo nalipinga kabisaaa. La sivyo hyo nyumba itakua imeibwa sehemu.Nyumba ya vyumba 4 inauzwaje 30m?tuanzie hapo kwanza.
Mkuu wew kama unaitaka nyumba njoo Fanya uchunguz wako halafu tukae mezan tukupe documents then tafta mwanasheria wako tufanye biashara au twende mahakaman tukafanye biashara tuache kumwaga mapovu yasiyo ya msingiKwa sisi mafundi mmi hilo nalipinga kabisaaa. La sivyo hyo nyumba itakua imeibwa sehemu.