Nimekubari
New Member
- Jun 21, 2016
- 3
- 2
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala na kimoja ni master bedroom, sebule na sehemu ya kulia chakula, jiko, choo cha Jumuiya, Maji na umeme vipo, tiles, gypsum board, fensi, parking ya gari ndani.
Nyumba iko Chamazi, iko katika mazingira mazuri na tulivu. Bei milioni 50. Kwa mhitaji ni pm au piga 0623693763.
Nyumba iko Chamazi, iko katika mazingira mazuri na tulivu. Bei milioni 50. Kwa mhitaji ni pm au piga 0623693763.