House4Sale Nyumba ya vyumba vinne (4) inauzwa

pc20

Member
May 28, 2016
24
10
Habari za siku ya leo ndugu yangu, leo nisiku nyingine tena ambayo nawalete habari njema juu ya makazi ya mwanadamu.
6f0bfc66af4f58b0f9a717b134d8fb1a.jpg

Nyumba hii ina vyumba 4, jiko1, seating room1, frems 2 kwa upande wa kulia, inapatikana maeneo ya Chamanzi Dovya kwa Mzara jijini Dar es Salaam.
3fbfacf85050054b6b45e6a74ac4604c.jpg

Inauzwa kwa Tsh 76millions ikiwa imekamilika, yaani itakuwa ina umeme, Madirisha, Milango, Gypsum pamoja na Tyles.
7d34a838c8b6f8a2af3cb2ae4ac019a9.jpg

ila ukiwa unaitaka kuinunua kama ilivyo kwa sasa bei yake itakuwa ni 56millions. Ukubwa wa eneo lake ni 26 mita urefu na upana wake ni 21mita.
7941328eb8a4bb88cda5a4db82bd0d21.jpg

Umeme pamoja na maji vyote vipo nyumba ya jirani. Tuwasiliane kupitia simu namba ifuatayo ya 0659 91 9292
 
Ni eneo la makazi, pia eneo halina hati isipokuwa kama unataka kununua ikiwa na hati basi tutafanya kila kitu kisha utakabidhiwa nyumba ikiwa ina kila kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom