husika na kichwa cha habari hapo juu sisi ni wataalamu wa kusuka nondo au steel fixer kwa gharama nafuu sana na kazi bora sana na tumetupia baadhi ya kazi zetu
cont: 0753505115, 0715505115 email...
Habari wanajukwaa,playstation 2 ambayo imechakuchuliwa(inasoma flash) inauzwa ikiwa pamoja na adapter,padi moja,memory ya kuwashia na flash ya gb 8 yenye mchezo wa pes 14
bei ni tsh 160,000 na...
Tafuta tenda za umeme na utuunganishe na bosi na tutakupa asilimia 20% ya labour charge tutakayokubaliana na mteja huyo mfano: labour charge ikiwa tsh 1,000,000/= tutakupa tsh 200,000/= cont...
Ziko Tungi na Kisota, Umbali wa kama KM 4 na 4.5 kutoka feri.
Nyumba ya kwanza ina vyumba 4 kimojawapo kikiwa ni Self contained, masterbedroom, Sebule, Dining, public toilet na jiko.
Ina tiles...
Wandugu,
Gari tajwa hapo Juu Fan ya AC mekata moto nimepeleka kwa fundi wamechoa hadi bas wisho wakaniambia fan imungua nimeunua nyngine nimefungaado hifanyi kazi.
ila nikiiwasha bil kufunga...
habari wakubwa , PC yangu nauza ni aina ya samsung yenye ram 2GB , Hard disk 500GB. nimemaliza chuo kwa sasa sina kazi nayo ni nzima iko vizuri nilinunua mwaka jana DECEMBER
kama uko tayari ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.