habari wakubwa , PC yangu nauza ni aina ya samsung yenye ram 2GB , Hard disk 500GB. nimemaliza chuo kwa sasa sina kazi nayo ni nzima iko vizuri nilinunua mwaka jana DECEMBER
kama uko tayari ni...
Wakuu nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa ft 50 x 50 eneo la Mbagala Maji Matitu. Kiwanja kipo umbali wa 1.3km kutoka barabara ya lami inayoelekea Mbande na Chamazi ambayo kwa sasa inapanuliwa...
Hello,
Natafuta Macbook Air. Kama unayo ipo kwenye hali nzuri na ina reasonable Price naomba uni-PM.
Specification ikiwa na HDD ya 500+ na RAM ya 4+ itakuwa poa, Otherwise unaweza kunicheck tu...
kwa wale wakazi wa ARUSHA mnaoplan kujenga gorofa mwisho wa mwezi huu nina mnada nauza mbao za 6 by 1 za kupiga botton na kuzunguka lenta bei ni maelewano jiandae kwani nauza kwa bei poa nimeona...
wadau nahitaji full ps 2 chipped inayotumia flash na cd bajeti yangu 100k(laki moja) napatikana dar mbagala
NB; dau linaweza kuongezeka kidogo kutegemea na hali ya mzigo nicheki 0688 206680
Ipo kwenye hali nzuri ni kama mpya hdd 250 ram 2gb webcam inakaa na chaji kwazaidi ya masaa matatubei ndio iyo laki 330 atakaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0716628257 kama namba aipatikani tuma...
Wakuu habari za saa hizi?
Nawaletea habari njema ya kuuzwa kwa eneo lililo karibu na chuo kipya cha S.T. Augustine Vikindu.
Ukubwa wa eneo hilo ni heka 13 na kila moja inauzwa kwa sh. Milioni...
Je unataka kujiajili kama jibu ni ndio basi karibu Starlink IT Consulltancy upate mafunzo yafuatayo.
Graphic designing Training.
Website designing
Computer applicatuion Training
Logos
Billboards...
Habari!
Natangaza jamani nauza unga wa muogo ,kwa jumla na rejareja. ni mweupe mzuri kwa ajili ya afya njema.
unaweza ukapikia ugali
na ni substitute ya unga wa ngano. Nipo kibaha .karibuni sana.
Guys me and my group tunatengeneza logo za kila aina kwa bei rahisi kabisa na kwa utaalam zaidi.....Bei ya kutengenezewa logo ni tsh.40,000/= @ 0689341445
Wadau
Nimetoka Jimboni kufanya Survey ya jinsi ya kuzungukia Kata zote mwakani.
Kwa kweli nahitaji Hard Top maana Kata zipo Milimani sana na ili kulitoa Gamba sina budi kuweka kambi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.