Nahitaji Noah ya kukodi

Nahitaji Noah ya kukodi

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,006
Reaction score
10,014
Wakuu nahitaji gari aina ya noah kwa ajili ya kwenda Mikumi na kurudi Dar.
 
Nachoogopa isije kutumika kwa mambo yetu yaleeeeee,wengine ndoa zetu changa
 
Nachoogopa isije kutumika kwa mambo yetu yaleeeeee,wengine ndoa zetu changa

Aisee umenitisha mkuu,maana kuna jamaa ana gari na hufanya route za Mikumi kwa Noah ya kukodi ambapo mie huwa naenda na family huku akitu drive mwenyew,sasa mpaka naogopa nisije kumpa kazi kisha ikajakutokea mambo hayo namie nikawa nimo.
 
hapana bosi nipe contact za huyo mtu.niongee nae... nataka kwenda kesho asubuh na kurudi jion nina wagen wangu wazungu wako sita na mm wa 7 so hakuna hofu yoyote zaidi utakuwa umemsaidia jamaa kupata pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom