Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau poleni na majukumu,, Kiwanja Kinauzwa maeneo ya makongo juu (dar es salaam) unapimiwa miguu urefu 30m na upana 25m. Kama unahisi unahitaji hilo ni pm wandugu tuongee.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Imetembea km 58300,cc yake 1292 year of prod 2002,bei 10.5 kwa mawasiliano tumia hz no 0768359292 na 0652359291,mie nipo dar na picha zake chin hapo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chumba na sebure kiwe na choo ndani(master) maji na luku ya kujitegemea viwepo napendelea zaidi mitaa ya airport,karakata,majumba sita,banana hadi Mombasa karibu na barabara garama yangu 80-100
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jipatie toleo jipya la simu ya tecno......toleo la sasa....tecno phantom z.....kwa SH 550,000...............25 gb internal........2gb ram......16 megapxel camera 8 megapixel front camera with...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
HP laptop ,window 7 4gb Ram ,500gb HDD,dual core 220 ghz ,betri haikai na chaji kwa muda mrefu karibia saa moja na nusu .price tsh 500,000.00 tel 0712652110 Dar
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Nunua Nyumba hizi zilizopo mwanza maeneo ya big bite, ilemela mahakamani na mahina zote zina hati na ziko chini ya benki ya serikali.karibuni sana tuwasiliane Kwa 0788752672
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ninauza shamba lenye ukubwa unaokaribia ekari 6, liko katika kijiji cha SOGA, mkoa wa Pwani, Kibaha. Kijiji kinajengewa "Dry Port" yaani bandari ya nchi kavu, shamba liko karibu na kijiji (shamba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
UTAJIRI NJE NJE Ni Shamba la Eka 10, lipo Mkoa wa Tanga, Wilaya ya Korogwe, Kata ya Kilole njia ya kuelekea Kanisa la ROMA. Kutoka ilipo "round about" Mzunguko wa Kilole Mjini ni umbali wa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
mwenye simu ya bei iyo hapo juu anichek 0757329998
0 Reactions
0 Replies
719 Views
For more information: E-mail info@starlink.co.tz Mobile 0757322844/0716858618
0 Reactions
0 Replies
679 Views
8Gb kwa 13000 tu.
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Nauza makochi ya watu saba kwa bei ya tshs. 900,000/= tu. Nimeyatumia kwa miaka 3 ila yako katika hali nzuri ni moja kubwa la watu 3, na moja la watu wawili na mawili ya mtu mmoja mmoja. Kitambaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama unayo weka namba ya simu na aina ya simu plus specification,simu nliyonayo haiwezi kuona PM.Nipo DSM.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa wale wanaohitaji line za tigopesa mnaweza nitafuta kwa namba 0754891344. Bei yake ni 450,000
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Changamkieni hivi viwanja vizuri wadau kabla havijapanda bei ukilinganisha sasa hivi wanaweka lami. Ni kuanzia mita 20/20 bei kuanzia 5.5m. Kwa maelezo zaidi 0713507487 / 0767507487 / 0782898210.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naitaji mtu wa kunitengenezea website. Bei zake ziwe nafuu. Kazi yake iwe nzuri. Atumie artwork zake asipest templates. Ni website ya habari za ubunifu,mitindo,ujasiriamali nk. awe...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana. Kama lilivyo tangazo hapo juu, nauza eneo la kiwanja linalotosha kujenga nyumba kubwa ya familia lililopo Chanika kwa Ngwale Dar es Salaam. Eneo halipo mbali na barabara kuu...
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Godoro 5x6 na Vyombo vya ndani, maeneo ya Mburahati Gini=80,000 tu call 0769 356124
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Jaman wadau, napenda kujua mtu mwenye uelewa mkubwa wa magodoro, kuna aina ngap ya magodoro ya spring, brand ip ni imara zaid, ni kwel qfl dodoma wana spring mattress? Na bei kwa dukan ya spring...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wadau! Nauza viwanja ambavyo havijapimwa vyenye ukubwa wa Nusu heka. viwanja vipo Eneo la Mbutu kichangani-Kigamboni,Dsm. umbali kutoka ferry ni kama 10km. bei ya kiwanja ni 3.5ml...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom