Fremu/Stationery office katikati ya Jiji Posta au Msasani

Fremu/Stationery office katikati ya Jiji Posta au Msasani

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Inahitajika haraka mwisho wa mwezi huu kodi isizidi laki na nusu kwa mwezi, Mwenye kuwa nayo au mwenye uzoefu nazo anipm.
 
haa haa haaa mkuu ndio uwezo wangu huo kama unayo sema bei yake nijipange
duu! mkuu laki na nusu upate frame maeneo ya posta sidhani, labda kwa msasani unaweza kupata, nashauri uende maeneo hayo ukacheki na madalali,
 
Back
Top Bottom