Habari,
Una ujuzi na Teknolojia hasa Gadgets, Smartphone Apps (Android,iOS,bb os n.k) na ungependa kushiriki kama mtaalamu kwa makubaliano maalumu katika tukio la Social Media Day in Tanzania...
Ninaflash simu aina zote na kutoa lock simu aina zote kwa bei rahisi sana, mfano iphone zote jalbreak and unlocking ni elfu 30,000 tu....kwa kutumia imei inategemea na carrier wako..........simu...
Ni yule yule wa ukweli, kupitia mawasiliano yake ya simu namba 0719450426, kwenye whatsupp 0719450426, au kwa email; jonathankamwavahs@gmail.com, au kwa Facebook Jonathan Lucas kamwavahs.
Basi...
Sepon Ltd ni kampuni inayohusika na uuzaji na ufungaji wa vifaa vya umeme wa Jua (Solar system) na Umeme Hifadhi (Backup system) kwa matumizi ya Kanisani, Mashuleni, Ofisini na sehemu mbalimbali...
We provide customer care/ service training to company employees and inviduals. The short course include:
basic customer care skills, call handling, how to deal with difficult customers...
Nauza gari hii aina ya Suzuki Escudo maarufu kama punda.
.Reg. No. CBH XXX
.Rangi: Black/Dark
.Odometer:129000
.Trans: Auto
.Mwaka iliyotengenezwa: 1996
.Mwaka iloingizwa nchini:2013...
Hi
Hi ni kwa mtu atakaye hitaji kufanya biashara na mimi Eddazaria katika kukinunua kitabu changu cha MY MOMMY'S FRIEND na akapata asilimia kadhaa katika mauzo ya kitabu changu kwa mawasiliano...
Habari wadau,
Kwakuwa huyu mnyama ndio kwanza kadondoka hapa mjini na bado ananukianukia
Umarekani naomba kwa ruhusa yenu, Ni-mnadi kwa ung'eng'e kama anavyostahili.
Description...
Smart African Designs inatengeneza na kuuza T shirts nzuri zilizoshonewa kitenge cha African culture. Size zote na Rangi mbalimbali zipo kwa ajili yako. Bei ni Tshs 20,000/= kwa T shirt.
Kwa...
Wandugu,
Laptop HP i3 mpya, ina miezi 3 tangu itoke dukani, nina risiti yake. Peke yake na charger (kama nilivyopewa duknai)=400,000 tu. Pamoja na peripherals kv: Wireless Mouse, Modem...
Nyumba ya kupanga inahitajika kuanzia januari 2015
AINA
Vyumba 2 vya kulala kimoja kiwe master bedroom
Sebule
jiko
choo na bafu
Luku ya kujitegemea
MAENEO
Kinondoni
Mikocheni (isiwe...
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa mita 20x40
maeneo ya kinzudi usukumani.
Mkataba wa mauziano na cheti cha umiliki toka halimashauri ya wilaya kinondoni kinachotolewa na serekali za mtaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.