Nyumba zinapangishwa Kigamboni

Nyumba zinapangishwa Kigamboni

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Ziko Tungi na Kisota, Umbali wa kama KM 4 na 4.5 kutoka feri.

Nyumba ya kwanza ina vyumba 4 kimojawapo kikiwa ni Self contained, masterbedroom, Sebule, Dining, public toilet na jiko.

Ina tiles na Mapangaboi ndani, maji na umeme vipo na ina parking space ya magari 3 au 4.

Kodi yake ni laki 3 na inalipiwa mwaka mzima.

Ya pili ina vyumba 2 na sebule. Chumba kimojawapo ni self, iko fully tilled, ikiwa ndani ya fence na parking ya magari 2.
Kodi yake ni 200,000 kwa mwezi.

Mwenye kuhitaji karibu PM.
 
Matangazo na picha bana weka tuoene. Hiyo ya room nne ina fence? Kiwanja ni cha kupima au squatter?
 
Mapangaboi ndo nini?

Dada yangu na shem yangu Karucee hayo ni ceiling fan. Tatizo wewe umesoma International sikuli na mitaani hujichanganyi. Inaelekea na ndugu zenu nyumba zao ni full eisii siyo manka?
 
Hahaha. lols. Zogwale bwana! Thanks for the lesson and laughter too.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom