Laptop inauzwa Tsh 350,000/=

Laptop inauzwa Tsh 350,000/=

mfirigisi

Senior Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
115
Reaction score
50
habari wakubwa , PC yangu nauza ni aina ya samsung yenye ram 2GB , Hard disk 500GB. nimemaliza chuo kwa sasa sina kazi nayo ni nzima iko vizuri nilinunua mwaka jana DECEMBER
kama uko tayari ni text kwenye no 0759264999 niko Dar es salaam
 
Ukimaliza chuo ndio hauna kazi na PC tena? Au umemaliza chuo cha aina gani ndugu?
 
Norkim 1991 ukiona hivo ujue ni shida ndugu,, hakuna mtu anayetamani kuuza kitu chake ambacho alikigharimia na kukiona ni cha muhimu.....Kwa iyo usishangae saaana na kuuliza maswali ambayo majibu yake hutayafurahia..
 
habari wakubwa , PC yangu nauza ni aina ya samsung yenye ram 2GB , Hard disk 500GB. nimemaliza chuo kwa sasa sina kazi nayo ni nzima iko vizuri nilinunua mwaka jana DECEMBER
kama uko tayari ni text kwenye no 0759264999 niko Dar es salaam

Hiyo Nadhani Itakuwa Ni Toy Ya Kuchezea Watoto au Ni Scraper!
 
Mkuu mfirigisi nakushauri uweke picha high definition ili watu washawishike kununua kiurahisi.
Asilimia kubwa ya wanunuzi serios waliopo humu wanapenda kuona picha halisi za product inayouzwa.
Ukiweka maneno tupu usishangae kusoma maneno shombo na kejeli laki 7 kwa siku.
Nakushauri bure. Uamuzi ni wako. kuuza au kuambulia mitusi na kejeli hapa.
Weka picha upunguze kelele za watu zisizo na msingi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom