Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba ina uzwa Kinondoni Studio, inafaa kwa matumizi ya Ofisi(ilikua inatumika kama ofisi) na makazi. Ina vyumba 3 na master, imezunushiwa ukuta na ina geti. ina maji na mfumo wa umeme wa njia 3...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, nahitaji chumba kimoja ambacho ni self mwanza. Maeneo kati ya Nera hadi Ghana (airport road). Kisiwe mbali sana na barabara
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiwanja na Nyumba ya Vyumba Vitatu vinauzwa!!!!! Ukubwa wa eneo 23x25m Nyumba ya vyumba vitatu Eneo- Kimara Kilungule Dar Maeneo ya Darajani. Hakina Mgogoro Bomba la Dawasco limepita Jirani. Mita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nina till mpyaa za vodacom 4 kila till imekamilika (zipo mbilimbili) nipo Mbezi bondeni Dar na kuna usalama wa biashara yangu kwa asilimia 100 mawasiliano kwa wanaohitaji 0767279713 0658825141
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Tuwasiliane Pm kwa anayehitaji. Ipo katika hali nzuri. Ilikuwa inatumika kwa matumizi binafsi. Namba za usajili BCN Ipo Mabibo Hostel Unaweza kuja kukagua.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanajamii natafuta sehemu ambayo wanategeneza madirisha ya aluminium ya ukubwa wa 5*6 kwa garama nafuu,napatikana dodoma nahitaji madirisha 10.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kuna Friend of my Brother muzungu wa madiba,amenitumia request,nimeona ni share na wadau. "Quote" I am looking to buy a small package of land to start with of any size, in any Region I...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu mwenye Shamba lenye hati kamili Acres 5,000 mkoani Tanga anijuze. Weka Bei na eneo husika na ukubwa sahihi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenye uwanja dar na Dodoma nahitaji bei mwisho ml 3 kwa mawasiliano 0764801820
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Habari wadau, nahitaji chumba kimoja ambacho ni self, Tabora. Maeneo ya karibu na chuo cha utumishi wa umma TPSC
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kinahitajika kiwanja kilichopimwa ukanda wa kigamboni kuanzia mikwambe, kibada, gezaulole hadi mwongozo ukubwa wa sqm 1200 budget ni 12m± kwa haraka, nPM kama unacho
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Habari wanajamvi. Napenda kujua ni jinsi gani naweza nunua vitu ebay maana nilijaribu kucheki nikaona kama hawa ship kuja huku. Nifanyaje,anyone with experience anisaidie plz. Thanks.
0 Reactions
37 Replies
10K Views
Nauza used iphone 5 16gb white IOS 8.1 kwa tsh 500,000/- iko katika hali nzuri haina mchubuko wowote kama uko interest ni Pm
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari wakuu Naweza nikapata wapi hizi aeration pump kwa hapa dar...ziwe na uwezo wa kufanya kazi kwenye ukubwa wa eneo lenye maji kuanzia Lita 3000 na kuendelea ni vizuri ziwe non...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Gari ni ya mwaka 2000 mafuta ni diesel engine capacity ni 2990 milage 154000 km ipo kwenye hali nzuri bei ni milioni 12. #0714358610
0 Reactions
23 Replies
5K Views
SCANIA TRUCK 113, DOUBLE DIFF, HUB REDUCTION, HALI NZUR INAUZWA BEI MAELEWANO, 13.5 mln INATEMBEA NA CABIN NDOGO, ENGINE STD CONTAINER BODY Tuta up load picha baadae kdg...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Nauza projector hii sony ndio imefika jana aliye serious bei sh laki 5 na nusu
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Jaman wana IT, KAMA KUNA MWENYE MODEM YA ZAIN MSAADA TAFADHALI. NIPO ARUSHA
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Habari zenu wadau, najishughulisha na biashara ya kuleta nazi nzuri na kavu hapa Dsm kutoka mkoani Tanga kwa oda. Kama unahitaji wasiliana nami 0655069989.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Pata Nissan Terrano safi, 20 million, ipo vizuri, call 0764776641 or 0754814405
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Back
Top Bottom