Nyumba inauzwa Kinondoni studio

Nyumba inauzwa Kinondoni studio

badspender1

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
74
Reaction score
6
Nyumba ina uzwa Kinondoni Studio, inafaa kwa matumizi ya Ofisi(ilikua inatumika kama ofisi) na makazi.
Ina vyumba 3 na master, imezunushiwa ukuta na ina geti. ina maji na mfumo wa umeme wa njia 3.
Ipo umbali wa mita 70 tu kutoka barabara ya Kawawa. Bei ni Tsh 270 Milioni.
simu 0756595959/0715595956
 
Weka picha jombaa usituuzie mbuzi mee kwenye gunia
 
Back
Top Bottom