Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za leo Wadau HP Printer yenye uwezo wa kuprint,kuscan, kutoa copy na fax inapatikana kwa bei ya Shilingi ya Tanzania 250,000 (njoo tuzungumze). Haina tatizo lolote, na imetumika kwa muda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aina: Avensis Transmission: Manual Cc: 1762 Odometer: 160000km Location: Dar es salaam Bei: 6M Colour: blue Sababu ya kuuza nmenunua gari nyingine!..
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Habari ndio hiyo bidhaa zetu ni 1. SABUNI za kufua, kuoshea tiles, vyombo, spea za gereji (habari ya magrisi kila mahali kwisha) na kuogea (ukurutu wa kuchafua taulo kwisha)...bidhaa ni bora...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Wapi kwa huko Dar naweza pata soko la uhakika na bei gani kwa Kilogram.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
npo interested sana na tecno m3 pia p3 au blackberry bold hebu niambie faster uko na simu gan ili tufanye biashara
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa huduma zote za Graphic design, webtech, Printing na Office Stationery, karibu utuone Legacy Impresion Company tunapatikana Kijitonyama Dar es salaam,Hudmuma zetu ni nzuri na bei zetu ni nafuu...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Wa salaam!! Kakoma Electrical works Tunafunga AC,tunafanya kazi ya mteja wetu vizuri na kwa uaminifu,Tumeshafunga AC nyingi sana kwenye ofisi za serikali na nyumba za watu binafsi.Kwa huduma...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Kwa mawasiliano njoo Pm
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Wapendwa wana Jf, Nnaopenda kuishi sehemu nzuri iliyopimwa isiyo na karaha za utapeli na wizi , ni bunju beach na mbweni kuna upepo usipime, sasa dawasco na tanesco anafanya kweli kutengeneza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sasa unaweza kupata mafuta ya queen elizabeth kwa bei ya 35000 tu tumia queen elizabeth original na sabuni za aza ikupe siri ya yrembo na utanashati faida zake: -mafuta haya hayachubui...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Inafanya kazi. Ila limechoka sanaaa kwa muonekano. IPO kariakoo. Imetumika buchani. Call 0779420000
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina FTC ya civil engineering natafuta kazi ya kukaa Dsm tu, nina uzoefu wa kutosha ni zaidi ya miaka 8. Hata ikiwa sio nilio somea sio mbaya.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Welcome to Community Supermarket Limited in Tanzania, "Your shopping destination". We are committed to provide superior choice and information to all our customers to help them make informed...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu nauza mtungi wa gesi ya Manjis, napatikana Morogoro.
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Wadau kwa mwenye uhitaji wa kufanya biashara za uwakala. Nauza line Zangu tigopesa, mpesa na Airtel Money. Hazina shida yoyote. Kwa mwenye uhitaji na yupo serious tuwasiliane kwenye namba 0752562720
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyumba iliyopo kinondoni kisutu inauzwa mil 150. Ipo barabarani, ina hati zote. Kwa maelezo zaidi contact 0716880022
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Habari wakuu Naweza nikapata wapi hizi aeration pump kwa hapa dar...ziwe na uwezo wa kufanya kazi kwenye ukubwa wa eneo lenye maji kuanzia Lita 3000 na kuendelea ni vizuri ziwe non...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Mabibi na Mabwana. Kuna shamba mbagala charambe linauzwa kwa tsh million 7. Mnaweza kufikia maelewano na kisha ukaanza kulipa kidogo kidogo kwa kile ulichonacho kwa sasa. vipimo vyake ni kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunakaribisha oda za kazi za sanaa na uchapaji- Printing, kwa logo/lebo/nembo za aina mbali mbali. Tunafanya ubunifu wa Logo/lebo/nembo mbali mbali kama za shule, makampuni, Vikundi vya...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Kwa heshima ninaomba kupewa maelekezo juu ya bei ya gari ya mzigo tajwa hapo juu. Ningeomba kuelezwa pia bei yake ni kiasi gani na wapi ninaweza kupa gari hilo jipya! Nitafurahi kama linaweza...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Back
Top Bottom