Jinsi ya kununua vitu eBay | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kununua vitu eBay

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Brandon, Dec 24, 2010.

 1. B

  Brandon JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari wanajamvi.

  Napenda kujua ni jinsi gani naweza nunua vitu ebay maana nilijaribu kucheki nikaona kama hawa ship kuja huku. Nifanyaje,anyone with experience anisaidie plz.

  Thanks.
   
 2. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Yeah nina experience ila huwa hawa ship AFRICA.......huwa wanaship Europe na sehemu zingine maana wakituma vitu huko postal wanaiba...na pia ukitaka kununua kitu kutoka ebay lazima account details za bank ziwe verified by paypal...kama una mtu huku mwambie akunuunulie hicho kitu then atume kwenye adress yake then akutumie huko kwa kutumia dhl au kampuni yoyote lakini asisubutu kutumia royal mail maana vitu vitafikia hapo bongo mikononi mwa watu na watavichukua....
   
 3. B

  Brandon JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  papizo,thank you so much for this useful info.
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Sio Kweli kwamba Ebay hawaship vitu kuja Africa....... Ebay ni market platform ambapo kila muuzaji na mnunuzi wanakutana (Ebay hakuna kitu wanachokiuza, bali huwa wanachukuwa pesa za muuzaji anapoweka matangazo) sasa ni kwamba watu wengi wanadhani kwamba Africa kuna matapeli ila hii sio sababu sana kwani ukilipa before hand mzigo wako utakuwa shipped (ni personal preference ya mtu kuamua kama ataship Africa au la)

  Na kila mtu akinunua au akiuza anapata members feedback kwahiyo feedback points zako zinapokuwa kubwa unazidi kuwa credible.... Therefore as time goes on na ukafanya biashara sana watu wengi wataweza kufanya biashara na wewe

  Malipo ya Ebay huwa yanatumia Paypal (payment through email ) na kwa Tanzania ipo kwenye Paypal lakini unaweza kutuma pesa na sio kupokea (in your case no problem) kwahiyo jiunge paypal... na unaweza ukatuma funds through your bank to paypal (ambapo mara nyingi through verification you need to go through some steps lakini inawezekana www.paypal.com/worldwide
   
 5. B

  Brandon JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Voiceofreason nakushukuru sanaaaa kwa mawazo yako and yo effort. Umenitoa tongotongo machoni mwangu. Nitacheki hii kitu maana nataka niwe nanunua vitu as they are very cheap ebay.

  Thanks once again mkuu.
   
 6. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yah nadhani kama on visa card au card yoyote ya benki yenye huduma online, wewe jisajili Paypal ni bure kabisa. Kisha anza kusaka bidhaa. Lakini kama walivyosema hapo juu, kutuma kwenda nchi za Kiafrika ni uchaguzi wa muuzaji. Lakini kumbuka kuwa ikitua Bongo lazima ulipe kodi.
   
 7. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Muda mrefu nimekuwa nikifikiria kufungua duka dar! la kuwasaidia wadau kununua na kuuza vitu kwenye Ebay!! Nina account ya Ebay UK na nafahamiana na watu wanaoleta mizigo bongo!! so Mdau kama unataka naweza kukusaidia ila nitaweka commision ya 25%; usafiri + ushuru juu yako!!
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ni kweli things are very cheap lakini shipment itakuwa expensive. Nakushauri utafute shipping company ya huko (kuna watu wanafanya consolidation) yaani ukiwa unanunua vitu uwaambie wavipost kwake mpaka mzigo ukifika mkubwa kidogo akutumie kwa mara moja hiyo itasaidia kuliko kutuma kila kitu kimoja kimoja ambapo mwisho wa siku gharama itakuwa kubwa..... na hii itaondoa tatizo la watu kuship Africa sababu watakuwa wanaship UK...

  na kama unanunua vitu toka ebay America unaweza kuwatumia US Mail Forwarding, International Shipping | MyUS.com
  hawa watu wanakupa address ya marekani kwahiyo unaweza ukashop Amazon; Ebay na pengine pengi na mizigo yako itakuwa inapelekwa kwenye hii address na wewe ukiona mizogo imefika mingi ya kutosha unawaambia wakuletee..

  Hope this helps.
   
 9. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kwanza hongera kwa wazo lako hili la kufanya biashara kwani huko ndio kujiajiri, hata hivyo "commision ya 25%" nahisi ni kubwa mno hasa ukitilia maanani mteja wako atapaswa kulipia usafiri na ushuru. Kwa commision hii inawezekana mteja wako ikamgharimu bidhaa utayomuuzia zaidi ya asilimia 70% ya bei ya asili (mfano 25% usafiri na 20% ushuru). Ushauri wangu ungelifanya utafiti kidogo kuhusu kiwango cha ushuru unaotozwa na ebay, gharama za usafiri na ushuru wa TZ. Ikiwa commision yako itakuwa ya kuwaridhisha wateja unaweza kupata wateja wengi na ikiwa kubwa kupata wateja wachache au usiwapate kabisa. Kumbuka kuwa ni bora kupata faida ndogondogo kutoka kwa wateja wengi kuliko faida kubwa kutoka kwa mteja mmoja.
  Kila la heri na wazo lako hili zuri.
   
 10. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Mkubwa nakubali nimesema kwamba hawaship africa u know why mkuu??Sikutaka kusema kwamba wanaship...Mfano wewe ingia Ebay alafu uliza kila mtu anayeuza kitu karibia seller 98% wanasema kwamba hawaship abroad so hiyo 2% ndio maana nikasema kwamba hawaship africa..Hope umenielewa hapo mkuu!

  Ndio maana nikasema kama anamtu wa huku ajaribu kumuomba amnunulie then amtumie huko!!
   
 11. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  PAPA DIANA ACHA BANA. MFANO MI NIKITATAKA KITU CHA 200 us dola je?
   
 12. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  unalambwa 50 us dola, tehe tehe, good business, jamaa rinataka kura kirainiiiiiiiiiiiiiii
   
 13. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  kweli,ni kulambwa kabisa.
   
 14. Alinda

  Alinda Platinum Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 1,540
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160

  Kwa kuongezea tu, ni kwamba ni lazima kwanza uwe registered na ebay (kwa hii nchi ninayoishi sasa sijui nchi nyingine) ukisha kuwa registered wanakutumia barua ikiwa na password yako na baada ya hapo unaweza kuuza au kununua kitu chochote katika ebay. (ingawaje kama walivyosema hapo juu kuwa wauuzaji wengi hawatumi vitu Africa) Pia kumbuka katika ebay kuna matapeli na kuna vitu fake vingi tu, ingawaje kama ukitapeliwa ebay wanakurudishia kiasi fulani cha pesa, na kama umelipa kwa paypal wanakurudishia kiasi chote lakini hii process inatake time sana! kwa hiyo be careful. Mimi ni mnunuzi na muuzaji mzuri tu katika ebay na yote hayo nimeishakumbana nayo.

  Alinda
   
 15. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mambo vipi mkuu.Have you heard of eCRATER.COM?...watu sikuhizi wanaachana na ebay na kuingia ecrater.eCRATER is winning customers trust than eBAY.It's growing very fast and there are many sellers who sell worldwide.Kuna wauzaji wengi wanaship Tanzania and the rest of the world.It's very simple to buy from eCRATER all you need is paypal,google checkout account or a Credit Card...In Tanzania you will need to have a credit card or paypal account google checkout is not your option just yet.
  Please visit eCRATER.COM you will forget about eBAY.

  for cheap iphone clone mobile phones(NOTE: They are not iphone but iphone clone) please visit our shop here we ship to any destination worldwide including Tz and all for free shipping.
  we also have tablet pc (umpc & mid) for a great deal of price.


  China Cell Phones,cect phone,hiphone,watch cell phone,3G phone,umpc,mid,umpc tablet pc.
  China Cell Phones,cect phone,hiphone,watch cell phone,3G phone,umpc,mid,umpc tablet pc.
  www.ecRATER.COM
  for other products such as mp3/mp4/mp5 and Car dvds please visit:
  ELECTRONICSFOREAL-Car Dvd Players,MP4,MP5,MP3,Media Players and a lot more
   
 16. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo commision ni kubwa sana, hasa ukizingatia hugharamii ushuru wala usafiri. Naomba urekebishe kama kweli unataka watu wengi wajitokeze
   
 17. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona wewe ume-experience tofauti sana. Mimi mpaka sasa nina electronic devices kama laptops, simu, cameras, memory cards, etc nimenunua kwa sellers tofauti-tofauti sana. Kwa ku-conclude ni kuwa upande wa electronic devices jamaa wengi wanaship hadi Tz vizuri tu. Labda upande wa items zingine.
   
 18. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  dah,nipe connection na mm plz.
   
 19. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Aisee mbona unaonyesha kuwa process ni ndefu hivyo. Wengine hapa tuna muda mrefu na tulijisajili kwa kuregister tu online. Kwa wanaonunua hakuna charge na kwa wanaouza huwa kuna comission na kuna njia ya kufanya comission iwe ndogo. Site nyingine ambayo popular ni amazon. kwa wale wanaozungumzia ebay inawezekana wanashindwa kuelewana kutokana na nchi wanazofanya nazo biashara. Kuna ebay zenye listing popular based on specific country. Km uk, ebay.co.uk, marekani .com India etc.
   
 20. Alinda

  Alinda Platinum Member

  #20
  Jan 5, 2011
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 1,540
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ndio maana niliandika "kwa hii nchi ninayoishi...." na sio mlolongo mrefu ni tujisajili tu na kusubiri hiyo barua na baada ya hapo ndipo unaweza kununua au kuuza kitu, kama nilivyosema huu ni utaratibu kwa nchi ninayoishi kwa nchi nyingi sijui! au unawezekana walishabadilisha kwani ni miaka zaidi ya 3 tangu nijisajili.
  Alinda
   
Loading...