msaada;nahitaji aeration pump ASAP

msaada;nahitaji aeration pump ASAP

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
885
Reaction score
1,298
Habari wakuu
Naweza nikapata wapi hizi aeration pump kwa
hapa dar...ziwe na uwezo wa kufanya kazi
kwenye ukubwa wa eneo lenye maji kuanzia
Lita 3000 na kuendelea ni vizuri ziwe non
submersible,pia depth ya kuanzia 1.5
meters...ziwe znatumia umeme mdogo au hata
solar power .
natanguliza shukurani
Pm tafadhali
 
Back
Top Bottom