Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Anatafutwaa Kinyozi wa Salon Ya kiume. Just PM me. Anatakiwaa Aanze Kazi Tarehe 1/8/2014.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa alie na uhitaji wa mbao za mnazi za size mbalimbali kama: 2x2= sh.3000 2x4= sh.6000 2x8=sh. 10,000 Ziko Kigamboni Tungi, mwenye kuhitaji karibu PM.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Simu hiyo inauzwa kwa shilingi 90,000 haina tatizo lolote,ina rangi nyeusi na unapewa na charger yake.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninauza hiyo kama inavyoonekana kwenye picha, ni pm tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Wajasiriamali wenzangu! Nauza till ya Tigopesa, nilikuwa naitumia kwa biashara zangu ila kwa sasa nimeamua kubadili biashara. Aliye serious ani-pm. Nipo Dar es salaam. Karibuni sana.
0 Reactions
1 Replies
881 Views
TEGWA Investment ni wafugaji na wauzaji wa kuku wa kienyeji,Tunauza kuku kuanzia kuku 10 na bei yetu ni Tz.10500 kwa kila kuku, Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0768292116 au...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari! Kwa wale wakazi wa Moshi ambao wanakumbana na matatizo ya kompyuta, tunaweza wasiliana na kufanya kazi zao chini ya makubaliano. - Computer installation,repair...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Wandugu natafuta hiyo bidhaa nataka kufanya pavement kuzuia water percolation nitajie bei kwa square meter. Asanteni
1 Reactions
1 Replies
749 Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Masaki, Msasani, Mikocheni Oysterbay from $500-$800 pm. 3 bedrooms, 2 baths, parking and either apartment or stand alone. Water should not be a problem at...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni kiwanja kizuri. Kipo maeneo ya Kishiri -Igoma Mwanza. Kinaukubwa wa (urefu 45 na upana 39). Kipo pembe ya Barabara na Jirani na Shule. Pamechangamka na panafaa kwa biashara. Pia kuna miti ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Toyota Wish 4 Sale Engine Capacity Cc1790 Automatic Gear Low fuel Consumption Price 12.5million na maelewano yapo Mawasiliano 0767699738, 0787594367 0658388841 Email husseinmushi8@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Toyota rava 4 for sale, very clean condition, km 71000, price 16 m, no accident for more inf. 0769038065
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Sombetini duka la Cement kinafaa kwa makazi na biashara ukubwa 20 kwa 25 kipo barabarani kabisa bei maelewano. Ni-PM au tumia namba: 0762 982004
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samsung note 3..ninayoitumia bei makubaliano,kwa mawasiliano kibiashara piga 0659-606000, picha zake hizo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza Sony Xperia Z, ni black na bado mpya kabisa, kama utahitaji wasiliana na mimi kwa simu namba: 0656-606000, bei ni nafuu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji simu tajwa hapo juu. biashara ipo hivi; exchange ila nitaongeza kiasi flani cha pesa depending na simu uliyotoa ofa. picha cjaipiga ila ipo katika good working condition. Google...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Bei ni sh 475,000/-ni pm kwa aliye serious
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Wadau habari zenu? Nauza Tv yangu LED TV Inch 22 aina ya Kodtek ipo kwenye box lake na rimoti yake,nimetumia miezi miwili tu. Haina shida yeyote,Tv ipo Sakina,Arusha. Bei:220,000/=(LAKI MBILI NA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja vianuzwa vipo Mbweni. kimoja kipo kina sqm 1500 bei Milioni 70, kingine kina sqm 850 bei Milioni60 na chenye sqm1300 bei ni Millioni 60. Vyote vimepimwa vina Hati. simu 0717097905 Emmanuel
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom