Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana JF naomba mwenye simu tajwa hapo juu Samsung galaxy S5 original au Samsung galaxy S5 clone, but samahani kama ni clone isiwe clone ya kiivyo nataka iendane na orijinal kdogo asanteni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Bahari Beach. Kina ukubwa wa sqm 900 kimepimwa na kina Hati. kipo umbali wa mita 700 tu kutoka Baharini. Bei ni Tshs 80 Millioni. simu 0717097905 Emmanuel
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa Kinondoni Studio, ina vyumba 3 kimoja master. inafaa kwa matumizi ya Ofisi(ilikua inatumika kama ofisi) pia inafaa kwa makazi. Ina mfumo wa umeme wa njia 3, ina maji na...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Salaamu! WanaJF nahitaji gari ndogo ya kutembelea yenye injini ndogo na bei kati ya mil3 hadi 5.. Picha mhimu sana, zioneshe injini, nje na ndani ya gari. Nawasilisha!
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama unatafuta Mitungi mitupu(empties) ya Mihan gas kwa bei nafuu uni-PM.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninauza simu, Samsung galaxy grand duos i9082, ukubwa 8gb, 8megapixel camera, nyeusi. Bei 370,000. Contacts: 0786_305664
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Tunauza fridge na freezer ,4 doors na siko na tyre. Laki 8 na sinafanya kazi. Piga 0683318021
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sofa linauzwa liko vizuri kama linavoonekana la watu wawili price ni Tsh.190,000/= negotiatable
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nahitaji watu / mtu atakayeweza kunitengenezea kalenda ya mwaka 2015. Anayeweza anijulishe. Nashukuru sana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza Sato na Sangara Jumla kwa Sato kilo moja nauza 6900 na Sangara kilo moja nauza kwa 4800!na kwa reja reja Sato kilo moja 7500 na sangara 5500 nipo Dar kwa mawasiliano nipigie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Kama kuna mtu anayemfahamu fundi mzuri wa kuweka tiles kwenye nyumba naomba aniunganishe naye kupitia 0719077297.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Iwapo unataka Calendar, Business card, Brochures, Diary Flyers,Books; hatuna haja ya kuonana face to face, Network yatosha, popote ulipo, cha kufanya nitumie maelezo kamili kuhusiana na unachotaka...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Habari wakuu...nahitaji simu aina ya galaxy grand 2. Mm nitakupa Samsung Galaxy S3 ya T-Mobile.. #8megapixel back camera..#1 .9megapixel frnt camera..#2Gb Ram...#1 .6Ghz processor..#1 6Gb...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
milage 12560 KM Engine Capacity 2480 manufacture year 2007 colour Black fuel used Petrol ipo katika hali nzuri, maelewano yapo # 0714358610
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HDD 500 CPU speed RAM 4gb Betri zaidi ya masaa matano Ipo kwenye hali nzuri Pia zipo laptop nyingi tu zimeingia zipo za laki 250,000 & 280,000 & 300,000 & 350, 000 na 380,000 Piga...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimekuwa nikidesign vifaa vya electronics kwa kuzingatia mahitaji na matatizo yanayo ikabili jamii yetu kwa muda sasa. Kutokana mahitaji kuongezeka nimekuwa nikishindwa kukabiliana na order nazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei iwe ya simu iliyotumika mawasiliano 0712100668
0 Reactions
0 Replies
687 Views
ipo vizuri...bei maelewano...PM for more information
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Passo 2005, cc 1290, km 97000, bei milioni 8 Ipo dar anayeitaji anitafute kwenye 0713110581 au 0685665766
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba ina uzwa Kinondoni Studio, inafaa kwa matumizi ya Ofisi(ilikua inatumika kama ofisi) na makazi. Ina vyumba 3 na master, imezunushiwa ukuta na ina geti. ina maji na mfumo wa umeme wa njia 3...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom