Tuwasiliane Pm kwa anayehitaji.
Ipo katika hali nzuri.
Unaweza kuja kukagua.
Tuwasiliane Pm kwa anayehitaji.
Ipo katika hali nzuri.
Unaweza kuja kukagua.
Mkuu Jazia jazia tangazo lako basi ili kuepusha usumbufu wa maswali...
unaweza kueleza imetumika kwa muda gani,je ilikuwa bodaboda au matumizi binafsi,ukikolezea na picha utakuwa umejitahidi kukamilisha maelezo ya msingi kuhusu bidhaa unayouza........
Tuwasiliane Pm kwa anayehitaji.
Ipo katika hali nzuri.
Ilikuwa inatumika kwa matumizi binafsi.
Namba za usajili BCN
Ipo Mabibo Hostel
Unaweza kuja kukagua.
Alaa,Piddy kumbe upo?Inanambampyatayari??