Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,033
- 10,468
Wakuu mwenye Shamba lenye hati kamili Acres 5,000 mkoani Tanga anijuze.
Weka Bei na eneo husika na ukubwa sahihi.
Weka Bei na eneo husika na ukubwa sahihi.
Kindege inakuwaje Shamba Halina hati mkuu.Kama halina hati utahitaji pia?
mashamba ya kurithi mkuu. Bt anywayKindege inakuwaje Shamba Halina hati mkuu.
Maana najua zipo hati za Kijiji ambazo wamiliki wamekabidhiwa.
Sasa kama halina hati hapo mtu yoyote atasema lake.
Oyaa babu wa samunge acha virobakanunue kwenu zanjiba