Anatafutwa Kinyozi Saloon ya Kiume

Anatafutwa Kinyozi Saloon ya Kiume

MILCAH28

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
1,140
Reaction score
328
Anatafutwaa Kinyozi wa Salon Ya kiume. Just PM me.
Anatakiwaa Aanze Kazi Tarehe 1/8/2014.
 

Attachments

  • 1406231493403.jpg
    1406231493403.jpg
    51.4 KB · Views: 382
  • 1406231529589.jpg
    1406231529589.jpg
    55.7 KB · Views: 216
Dili hilo wenye meno watachangamkia. Malipo vipi lakini? Maana hata kama unampa mtu dili unakuwa na idea ya mafao inakuwa rahisi kiasi fulani.
 
weka malipo, na mahali ilipo ofisi hiyo.
 
Watakuja wenye nywele wenye vipara ngoja tupite tuwahi makazini.
 
Unajilipaa mwenyewe hesabu 70,000 kwa week 140000 kwa week...viti viwili...Maelewano Yapo
 
Back
Top Bottom