Laptop HP core i5 hardisk 500gb na ram 4gb price tshs.500,000 nimeitumia kwa muda wa miezi 4,inakaa na charge masaa 3 kama utakua interested nichek 0713650755
Ni Mitsubishi Lancer (sport generation car)
CC 1597
mwaka wa kutengeneza: 1999
kusajiliwa kwanza ni 2007
Consumption 1litre/13-14 km
Blue colour
Vibali: Motorvehicle license Feb/2015, Bima...
Kiwanja Buyuni - Pugu Dar es salaam kinauzwa. Ukubwa ni 25*30, Bei Milioni 6, Kimepimwa kina offer tayari. Kama utahitaji email me kwa mawasiliano : mazurimaua1980@yahoo.com
Wanajukwaa, Salaam!!
Nimetokea kuipenda timu ya Azam FC, na katika kuwasapoti ninataka kununua jezi yao Orijino.
Nitaipataje? Na inauzwaje? Pia, mwenye mawasiliano ya Azam FC naomba atupatie...
The theme for this prophetic event is Heaven on Earth.
Joshua 18:1-3, "And the whole congregation of the
children of Israel assembled together at Shiloh, and
set up the tabernacle of the...
Shamba linauzwa lipo Msumi. Lina Ekari 3, limepandwa miti ya matunda
maembe ya miti ya kisasa na mazao mengine. Bei yake ni Tsh milioni 15 kwa kila Ekari.
Simu namba 0717 097905 Emmanuel
Wana Jamii: Ninapenda kuwapa taarifa kwa wenye uwezo na uhitaji kuwa, ninauza shamba langu.
Wapi: Mvuti Sangara Chanika.
Ukubwa: Ekari 2
Hali ya shamba: Ni mali yangu...
WAKUU, nahitaji mlango wa duka/chumba cha duka hata kama kidogo sana lakini maeneo ya posta dsm, nitapataje kwa anayejua. kama dsm huwa ni ngumu naomba kujua uzoefu kwa mikoa kama mwanza, mbeya...
TOYO pikipiki ya miguu mitatu inauzwa T shs 2 milion. Imetumika kidogo miezi saba. iko hali nzuri. Piga simu 0766 562050
rangi nyekundu, made in China.
Ipo eneo la Gangilonga Iringa, barabara ya kwenda Dodoma (mita mia kutoka Kituo cha Tanesco ya zaman). Lina ukubwa wa Ekari moja. Hati ni ya biashara, unaweza kubomoa na kujenga chochote cha...
2 surveyed plots with title deeds;
a) 5,115 sqm and
b) 9199 sqm [ with permanent water stream at the edge of the plot]
Good access road off the Mtwara Highway. No Middle men required.
For more...
Hello nimejaribu kutafuta nyumba maeneo ya mjini kama sinza, kijitonyama, makumbusho mikocheni nk. inakuwa ngum, wenye nyumba weng wanataka kod ya mwaka, bajet yangu ni lak 2 au 1.5 kwa miez 6. So...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.