Mbao za Mnazi zinauzwa

Mbao za Mnazi zinauzwa

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Kwa alie na uhitaji wa mbao za mnazi za size mbalimbali kama:
2x2= sh.3000
2x4= sh.6000
2x8=sh. 10,000
Ziko Kigamboni Tungi, mwenye kuhitaji karibu PM.
 
zinatumika kwa kazi gani?
Zinatumika kama mbao za kawaida ila zinafaa zaidi kwa fenicha za nakshi, milango ya mapambo na zina sifa ya kuwa imara kuliko mbao za kawaida. Kama ukitembelea Bagamoyo au Zanzibar, utaona kuna baadhi ya majengo yana milango ya mbao za mnazi yenye miaka zaidi ya 100.
 
umeniongezea ufahamu. vp kuhusu mbao za msufi, naskia mchwa hawali, ni kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom