Kiwanja kizuri na kikubwa kinauzwa

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
1,758
6,087
Ni kiwanja kizuri. Kipo maeneo ya Kishiri -Igoma Mwanza. Kinaukubwa wa (urefu 45 na upana 39). Kipo pembe ya Barabara na Jirani na Shule. Pamechangamka na panafaa kwa biashara. Pia kuna miti ya miembe

Yeyote anaehitaji anitafute kwa namba 0756851815. PIGA AU WHATSAPP.

:thumbup:BEI NI POA.
 

Attachments

  • 1416127203511.jpg
    1416127203511.jpg
    68.6 KB · Views: 378
  • 1416127228758.jpg
    1416127228758.jpg
    64 KB · Views: 352
  • 1416127252347.jpg
    1416127252347.jpg
    74.3 KB · Views: 355
....Pamechangamka ...! .... Pana miti ya Miembe....!
Nitakutafuta Mkuu!
 
Hivi kuweka Bei huwa ni tatizo gani.
Maana kabla ya kuuza unakuwa unayobei yaani Asking Price.
Sasa hapa bei tu hadi mtu aje chemba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom