IT Services available / Huduma za IT zinapatikana

IT Services available / Huduma za IT zinapatikana

Kijiti

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
190
Reaction score
27
Habari!

Kwa wale wakazi wa Moshi ambao wanakumbana na matatizo ya kompyuta, tunaweza wasiliana na kufanya kazi zao chini ya makubaliano.

- Computer installation,repair /servicing,assembling,software installation.
- CCTV installation, network design, networking.
- Computer training

Tuwasiliane eidha kwa JF uni-pm au kwa simu yangu ambayo ni 0716262046.

Karibuni sana
 
Back
Top Bottom