From this weekend 6/12/2014 na zinazokuja Jeff Mobile Car Wash tutakuwa Triple 7 sport bar,Kawe Station yetu mpya,karibu uburudike na nyama choma,bigscreen kwa wapenzi wa Football,mandhari...
Kwa wale wapenzi wa Mac books.. Nauza Mac book air yenye 1.4Ghz Intel Core 2 Duo processor, 12inch screen na 2GB of RAM.. if interested call 0652498798
Inahitajika nyumba ya kupanga haraka jijini Dar.
Maeneo
Kijitonyama
Kinondoni
Makumbusho
Mikocheni B.
Mwananyamala Komakoma
Aina ya nyumba:
Iwe na vyumba 2 vya kulala(kimoja kiwe master)...
Kiwanja kinauzwa kipo Goba karibu na shule ya St Joseph Millenium. Kina ukubwa wa mita25 kwa 30. Kiwanja ni kizuri kipo karibu na barabara iendayo Goba. Bei ni Tsh
13 Milioni.
Simu...
Nnatafuta Kiwanja Chanika/Goba au Kitunda 20X30 au 20X30. Nina 2.5Ml.
Mwenye nacho(Kiwanja)karibu na barabara kuu Isizidi 1KM. Ani PM tafadhali.
NB: Kwa Goba, Dau ntaongeza hadi 3.5ml.
NINI: Nauza smaki SATO kutoka Mwanza kwa 'order' kwa bei ya jumla
WAHUSIKA: Wakazi wa Dar es salaam na viunga vyake
BEI: Kwaa jumla kg 1 ni shs 7,300 tu.
JUMLA MAANA YAKE NINI...
TUNAFANYA SURVEY KWENYE MIRADI YA MAJI NA KUANDAA REPORT KWA KUZINGATIA MATAKWA MTEJA.
PIA TUNA REDESIGN WATER NETWORK SYSTEM KAMA IMEKOSEWA NA CONSULTANCY NA KUANDAA MICHORO HALISI INAYOENDANA...
kipo st.joseph (goba kunguru) kina nyumba ya kurekebisha ina umeme na eneo lakutosha! hakina hati doc muhimu za makabidhiano na serikali ya mtaa zipo! ukubwa wa eneo 20 * 25! serious buyer ni pm...
bunju b
ukubwa;heka 2 na nusu
bei;milioni15 kwa heka,maelewano yanapewa nafasi.
madale kwa kawawa
ukubwa;miguu 35 kwa 35
bei;milioni 8,maelewano yapo.
viwanja vyote havijapimwa,documents...
Karibu ukutane na Watanzania wanaofurahia uhuru wa maisha yao kwa kutimiza ndoto zao karibu ujifunze jinsi gani unaweza ukawa dereva wa maisha yako wewe mwenyewe na wanaokuzunguka,
hata...
Habari za saa hizi. Naulizia mtu anayefahamu au anayefanya biashara ya vitu vya hotel nikamanisha zile chupa ndogo za shampoo, shower gel, sabuni ya kawaida, na dawa ya mswaki na je anaweza supply...
Special offer kwa wenye iphone 4 zenye ICLOUD/apple ID naweza kukurekebishia ukaitumia kama ipod na digital camera pia waweza unga wireless ukatumia apps zote kama whatsapp,viber,skype,instagram...
eneo tambarale lipo karibu na huduma za jamii
jirani na shule ya msingi mabwe na jirani na hospital ya mabwe pande
kwa wanaohitaj tuwasiliane 0716 86 62 41
eneo halijapimwa, ukubwa wa viwanja...
Habari wote, Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kawe au Mbezi Tangibovu. Iwe eneo lenye usalama kama itakuwa ndani ya fensi ni vizuri zaidi iwe na vyumba 3 vya kulala, sebule, jiko, choo na...
Leo tunamalizia kufundisha Review Classes za CISA (Certified Information Systems Auditor) Certification kwa wanaofanya Exams 13 Dec, 2014, Tumeanza kupokea maombi kwa intake inayofuata, hasa kwa...
Habari zenu wote humu ndani, nauza kiwanja kimepimwa, kina hati miliki maeneo ya Goba Center wilaya ya kinondoni Dar Es Salaam, bei Tshs 30million lakini tunaweza ongea kwa negotiation kwa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.