Nauza kiwanja kina hati miliki Goba center

Nauza kiwanja kina hati miliki Goba center

BUKONGO

Senior Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
169
Reaction score
17
Habari zenu wote humu ndani, nauza kiwanja kimepimwa, kina hati miliki maeneo ya Goba Center wilaya ya kinondoni Dar Es Salaam, bei Tshs 30million lakini tunaweza ongea kwa negotiation kwa mtu ambaye yuko serious ani PM kwa maelewano zaidi.
 
Kinanukubwa gani na umbali gani toka Barabara ya goba mbezi??
 
Karibuni wote bei nimeweka lakini ni maelewano
 
Back
Top Bottom