mamsindo
Member
- Jan 8, 2010
- 36
- 28
Inahitajika nyumba ya kupanga haraka jijini Dar.
Maeneo
Maeneo
- Kijitonyama
- Kinondoni
- Makumbusho
- Mikocheni B.
- Mwananyamala Komakoma
- Iwe na vyumba 2 vya kulala(kimoja kiwe master)
- sebule
- jiko
- choo cha jumuiya
- Umeme wa luku inayojitegemea
- Maji