mzee wa ndonga
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,108
- 88
Leo tunamalizia kufundisha Review Classes za CISA (Certified Information Systems Auditor) Certification kwa wanaofanya Exams 13 Dec, 2014, Tumeanza kupokea maombi kwa intake inayofuata, hasa kwa wale wanaotaka kufanya Exams June, 2015.
Madarasa yako Dar Es Salaam City Center, na kwa wale wa mikoani tunawaomba muwasiliane nasi. Review Classes zitaanza January 2015. Nafasi ni chache kama uko interested fanya reservation Mapema...Kwa mawasiliano zaidi Please Call 0713 451713.
Karibuni wote