Huduma: Ninatoa Apple ID kwenye iPhone

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
311
71
Special offer kwa wenye iphone 4 zenye ICLOUD/apple ID naweza kukurekebishia ukaitumia kama ipod na digital camera pia waweza unga wireless ukatumia apps zote kama whatsapp,viber,skype,instagram na nyinginezo. Nitafute kwa namba hiyo hapo juu. Gharama ni elfu 40 tu.Namba yangu ni 0763969066. Pia kama iphone yako haijawareported kama stolen au lost basi naweza pia kuitoa official kabisa ukapata support kutoka apple servers. Karibu nikuhudumie
 
​mkuu nina iphone 5 imedondoka last friday hadi leo haijawaka je una solution ya hili???mana nimejaribu kuirestore through itune imekataa
 
​mkuu nina iphone 5 imedondoka last friday hadi leo haijawaka je una solution ya hili???mana nimejaribu kuirestore through itune imekataa

hiyo ni mpaka niione ndio naweza kukujibu maana kuna vitu vingi vya kufanya
 
Ninatoa apple ID kwenye iphones aina zote. Kwa maswali au maelezo nitafute kwa 0763969066,pia waweza tumia namba hiyo hata whatsapp. Karibu
 
Hapo bado sijaelewa ina maana unatoa na simu inatumika kupiga na kupokea km kawaida au inatumika kama ipod na camera tu
 
Hapo bado sijaelewa ina maana unatoa na simu inatumika kupiga na kupokea km kawaida au inatumika kama ipod na camera tu
kama iphone yako ni clean maana kwamba its not lost,erased ama stolen inawezekana kuitoa na ukatumia kama iphone nyngn but kama imekuwa reported utaweza kuitumia kama ipod,camera n simu inayotumia wireless internet tu.
 
Wajinga ndiyo waliwao!
 
Man iyo najua sinibypassing. Mi ninachotaka nikuremove icloud kabisa niweke yangu
 
Kwanini iwe kama ipod tu? Mbona icloud inatoka na unaweza kutumia simu km kawaida? Unless iwe reported stolen
 
Back
Top Bottom