Natafuta nyumba ya kupanga dar

Natafuta nyumba ya kupanga dar

BUKONGO

Senior Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
169
Reaction score
17
Habari wote, Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kawe au Mbezi Tangibovu. Iwe eneo lenye usalama kama itakuwa ndani ya fensi ni vizuri zaidi iwe na vyumba 3 vya kulala, sebule, jiko, choo na bafu. Bajeti yangu ni shs 300,000 mpaka shs 350,000/= kwa mwezi. Kwa ambaye yuko serious tuwasiliane kwa 0763 509641 natanguliza shukurani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom