Kiwanja kinauzwa Bagamoyo

Kiwanja kinauzwa Bagamoyo

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
kiwanja kinauzwa kiko bagamoyo ukubwa ni 20 kwa 25 na kingine ni 25 kwa 30 bei ni milioni 10 mazungumzo yapo,aliyeserious aniPM
 
Milioni 10? Hapo kwnye hicho kiwanja kuna nyumba kbsa au kuna ka vits included.
 
wakuu ndo maana nimewambia mazungumzo yapo,aliyetayari nayeye atoe offer yake tuzungumze
 
kiwanja kipo kata ya kerege kitongoji cha amani ni KM 1 toka barabara iendayo bagamoyo na KM 3 kufika baharini
 
kwa mawasiliano nicheki 0714358610
 
goba kunguru st. joseph! nauza kiwanja kina nyumba ya kurekebisha ina umeme ipo nje hatua tano kutoka hifadhi ya barabara! 20*25 ndio ukubwa wa eneo nataka 23m neg.. dalali hatakiwi ni pm kama upo tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom